Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Sio mim😊Wewe selfika nikuone bhana....kabla Uzi haujafungwa, maana sijui mnawatibuaga nini mods
Sio mim😊Wewe selfika nikuone bhana....kabla Uzi haujafungwa, maana sijui mnawatibuaga nini mods
Ni bless before sijalala basiSio mim😊
😘😘Mimi kuumia?
Ningeumia nisingetaka hata kuzungumzia hizo picha,
Mimi ni mzuri! kwa wanaonijua humu wakisoma wanacheka moyoni mwao ukweli wanaujua
Asante kwa kujali☺️
Kumbe alidanload, ili awacheke wanaomcheka🤣Alituma picha ya kudanlodi.
Tena ya bi kizee
Wakati yeye ni mtoto mdogo mrembo haswa.
Weeeeeh hizo hips tu
😆😆Ndio picha ya mshangaziKumbe alidanload, ili awacheke wanaomcheka🤣
Ni bless before sijalala basi
Tena wewe ndio unatuchekaga kwa dharauuuuu 🤣🤣🤣Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!
Siku zote ukweli ndio huuma kama kitu ni blah blah tu aaaaahhhhhhhh
Unajichekeaaa tu tena kwa dhaaaaaarrraaaaaaauuuuuuuuuuuuuuu!🤭🤭🤭🤭
yaani anadanlodi mshangazi tumcheke ili na yeye atucheke tulivyo wajinga kuamini ni yeye🤣🤣.😆😆Ndio picha ya mshangazi
Ndio naked ya uso😂😂😂😂😂Naked ya uso? 😅😅
Ebhanaeeeee 🔥🔥🔥🔥
Sa bora awe mshangazi mzuri.yaani anadanlodi mshangazi tumcheke ili na yeye atucheke tulivyo wajinga kuamini ni yeye🤣🤣.
Roho imeniuma
Usiku mwema how? Tuungie hata hela ya mihogo na maji ili usiku uwe mwema kwetu madam 😊