Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Hongera sana Mkuu,Kazi yako ni njema.Mi ni kweli mwaka huu sijafunga wala kuhubiri tokana na kutingwa na kazi za kimwili. Nimehubiri mara moja tu mkutano wa injili wa nje ila Mungu akisaidia mwakani nimepanga kununua vyombo vipya na kuanza kuhibiri. Nitaanza na mfungo binafsi then nitaendelea na wa siku 28 wa TAG Kitaifa.
Bwana na akaachilie kibali katika ratiba na mipango yako,kwa utukufu jina lake.
Sent using Jamii Forums mobile app



