Aunt 🤣🤣🤣🤣Wee baba acha kumuwehushaaa shouzzz angu,
Kwann usimuachee hata kidogo? Hata km yeye ame fall love kwako, hebu mfungie vioo,
Wee varangatii lote lile? Huna hata mshipa wa aibu wee mwanaume jamanii khaaah.
Sahivi uko na shouzzz, vipi wale vimada wako ulokutana nao ofisini na gym wanajisikiajeee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wee baba uwage hata na mshipa wa kujistukiaaa,
Mfyuuuuuuuh
Aliyenisafishia miwani yangu leo, ana nafasi yake peponi maana nawaona Wajukuu livecocastic usiseme sijatupiaView attachment 2854055
Mjukuu wako nimekonda nimebaki mifupa tuAliyenisafishia miwani yangu leo, ana nafasi yake peponi maana nawaona Wajukuu live
Vijana ambao hamjaoa leteni ng'ombe, Babu yenu nimekuza Mjukuu 😜
Salamu nzitoAcha bhasi 😄 kwamba itakuwa zaidi ya tetemeko na hanang
Aunt product 💐cocastic usiseme sijatupiaView attachment 2854055
Safi kabisa mjomba..!cocastic usiseme sijatupiaView attachment 2854055
As-salamu alaykumcocastic usiseme sijatupiaView attachment 2854055
Tafuta tafuta bhana 😗🤣 kapu liko empty bhana
Aunt product 💐
Waleykum SalamAs-salamu alaykum
Hivi haya si yalishaisha kila mtu tuko na mambo yake lakini Kuna wanaogombana na kurushina maneno hapa????Yaani hata aibu hana
Kanawachanganyia maneno wee
Wanagombana halafu mwenyewe anapita kama haoni wakati ndo mbea namba moja wa kugonganisha maneno
Mbaya zaidi ni mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimekutia kati Mjukuu ila kwa kusamalaizi tunaweza kusema "ng'ombe akivunjika mguu malishoni hurudi zizini"😀😀😀Kunipa ubuyu hamtaki
Kwamba kipa kaondoka na mpira wake 🤣🤣🤣Me nimekutia kati Mjukuu ila kwa kusamalaizi tunaweza kusema "ng'ombe akivunjika mguu malishoni hurudi zizini"
vidimpo umekuja🤣Kila picha ya mlonjo nilikuwa nakukumbuka 🤣
😄😄Tafuta tafuta bhana 😗
Kwani we hupendi ubebwe siku ya ndoa yako, ukiwa Kibonge huyo Mkwe atawezaje kukubeba kwaajili ya Picha 😅Mjukuu wako nimekonda nimebaki mifupa tu
Makongoro haya hapa🤣🤣🤣
Hanson ya leo wamemix na mbegevidimpo umekuja🤣
basi na mimi nitaanza kutupia
🤣Mfyuuu. Unazingua wewe!
😂😂😂Kwani we hupendi ubebwe siku ya ndoa yako, ukiwa Kibonge huyo Mkwe atawezaje kukubeba kwaajili ya Picha 😅
Kwa jinsi Vijana wanavyopenda Vipotabo hawakawii kuleta ng"ombe 100 kwaajili yako
Babu una mambo😀Kwani we hupendi ubebwe siku ya ndoa yako, ukiwa Kibonge huyo Mkwe atawezaje kukubeba kwaajili ya Picha 😅
Kwa jinsi Vijana wanavyopenda Vipotabo hawakawii kuleta ng"ombe 100 kwaajili yako