Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

17 Akapokea kikombe, akashukuru,akasema, Twaeni hiki, mgawanye ninyi kwa ninyi.

19 Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema,[Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu;fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.

20 Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.]

Luke 22
 
Attachments

  • IMG_20231226_082424_546.jpg
    525.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20231226-113410.jpg
    87.8 KB · Views: 7
Nimekaa muda mrefu kusubiri pilau la Krismasi kutoka kwako bila mafanikio

Basi fanya uniletee hata beer nilewe leo πŸ˜œπŸ™Œ

Heri ya Krismasi kwako pia Mjukuu πŸ€—
Usijareee kabisa babuuuuu wewe tenaaa!

Utakula utakunywa taniii yakooo!
 
Usijareee kabisa babuuuuu wewe tenaaa!

Utakula utakunywa taniii yakooo!
I'm honoured to have that special treatment

Nakuhaidi zile ekari 25 za mashamba lazima nikurithishe wewe Mjukuu πŸ€—

Muwe na mapumziko mema wewe na Mkwe wangu huko Mlipo
 
I'm honoured to have that special treatment

Nakuhaidi zile ekari 25 za mashamba lazima nikurithishe wewe Mjukuu πŸ€—

Muwe na mapumziko mema wewe na Mkwe wangu huko Mlipo
Aamin aamin babuu ushabariki jf ninani hata wakupinge???🀣😁🀠!

Holiday iko njema kabisa chini ya Smart911
 
Aamin aamin babuu ushabariki jf ninani hata wakupinge???🀣😁🀠!

Holiday iko njema kabisa chini ya Smart911
Kama mnavyofahamu Wakibarikicho Wazee hakuna wa kukilaani

Muwe na Mapumziko mema huko, ila Mkumbushe Mkwe kuwa Babu yenu nahitaji kumuona Kitukuu kingine, yule ameshakuwa

Fanyeni mpango likizo ijayo mniletee Kitukuu niwe nacheza nako.
 
Watoto ni baraka babuu usijali limeisha hilo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…