Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kwa kweli Babu-kijana mwakani tumalize kazi.

Vijana wanazingua sana, mimi na Z-anto mwalimu wa mathe alituambia hatufiki mbali kwani tumefikaaa? Hatujafika kokote๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kwasababu Z-anto alitoa ngombe 10 kwakuwa nilikua kigori, kwa sasa miaka imeenda sana, ngombe wawili tu na hao ngombe napokea mwenyewe usiwapelekee wajomba. ๐Ÿ˜
 
Kwa kuwa sisi ni wapenzi wa hiyo rangi ya Dubai, tutaleta ng'ombe zote 2 kama ulivyosema pamoja na ng'ombe ndama kama nyongeza.

Waambie waanze maandalizi ya kutupokea wageni ๐Ÿค—
 
Ngoja vijana waelewane kwanza,sitaki waishie hapa...

Sijaona aiseeh,unanificha au hutaki baraka za kaka?๐Ÿ˜…

Kuna kijana umeanza kugusanisha nae midomo tayari?
Mmeanza kuunganishana kihisia eh..
Unafika mbali!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Bado tupo stage za mwanzo kabisa, afu mi kijana sitakiโ€ฆ. Mi mwenyewe muhenga!
 
Unafika mbali!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Bado tupo stage za mwanzo kabisa, afu mi kijana sitakiโ€ฆ. Mi mwenyewe muhenga!
Hiyo ndio stage nzuri ya kula raha sasa,inatakiwa mpange trip ya kwenda kufahamiana zaidi au unaonaje?..

Sio mbaya ni chaguzi nzuri kabisa,naomba kumfahamu shemeji maana nisijepishana nae huku vichochoroni tandale nikamkaba na kumuibia.๐Ÿ˜…
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ