Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kweli nimekuza, jana nilipishana na mjukuu amevaa red hadi nikahisi ni wewe [emoji12]

Happy birthday Mjukuu, Mungu akupe maisha marefu uishi ukimtegemea yeye kama nilivyo Babu yenu hapa [emoji847]

[emoji1635]
Babu kijana

Heri ya krismasi

Karibu Tunduma
 
Babu kijana

Heri ya krismasi

Karibu Tunduma
Ulipotea sana Mkuu, hadi ukafanya niwaombe Interpol wanisaidie kukutafuta tujue ulipo.....

Baadaye nikapata habari kwamba ulifichwa na Yule Dada wa KiSouth πŸ˜…πŸ™Œ

Ukija Town nicheki kiwanja chenu vijana cha Liquid Bar πŸ€—

Heri ya Krismasi kwako na Jamaa zako huko ulipo πŸ₯‚
 
Kweli nimekuza, jana nilipishana na mjukuu amevaa red hadi nikahisi ni wewe 😜

Happy birthday Mjukuu, Mungu akupe maisha marefu uishi ukimtegemea yeye kama nilivyo Babu yenu hapa πŸ€—

πŸ₯‚
πŸ˜πŸ€£πŸ€­πŸ™πŸ™ Asante babu
Marry Christmas

Ulipishana nae wapi babu? Usikute ni Mimi?🀣🀣🀣
 
Tayana-wog naomba uelewane na huyo kijana na kama sio huyo basi yule mwingine,mmalizane🀣

Sitaki kuona mkiishia kusifiana tu
Naona aibu mimi 🀣 na hata niliyokuambia last night hukutekeleza.
🀣🀣
Atume tu Hela
Tatizo vijana wa sikuhizi wanataka kutumia nguvu nyingi wakati miamala ikisoma tu Kila kitu kinakata sawa Lamomy voice
 
πŸ˜πŸ€£πŸ€­πŸ™πŸ™ Asante babu
Marry Christmas

Ulipishana nae wapi babu? Usikute ni Mimi?🀣🀣🀣
Ilikuwa kwenye Parking za Mlimani City, mlikuwa mnapita njia.

Walikuwa ni Wadada wawili wa Yesu kwa kuwaangalia, maana walikuwa wanaongea habari za Mbinguni.

Kama mnavyojua kwa umri wetu huu wa Uzee, hizo ndiyo stori hupenda kuzisikia maana wengi hatupendi kukosa ile safari ya unyakuo πŸ€—
 
🀣🀣🀣😍
Sawa Babu hizi siku 2 sijapita hapo

Na mpango wa kwenda movie leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…