binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,459
- 42,155
Wapi zawadi ikukute baby sis, Dar au Dodoma?Naanza kupokea zawadi za birthday 😅😅
Omulasil raraa reree Zulu man
Antonnia binti kiziwi Dejane cocastic 🤣🤣🤣🤣
Na wengine sijawataja hapa nisijaze server za jf
Kablq sijaamua kuwa bless maphoto
Weee nani kasema??? Dedication ni hii tu 😁🐒🐒🐒🐒Hii long weekend. Angalau basi tuimbe ule wimbo wa
🎼 huyo ni chaguo lako🎶
Wametaja uchi🙆♀️Nn wee?
Hujasema special dedication kwa nani ?Weee nani kasema??? Dedication ni hii tu 😁🐒🐒🐒🐒
View: https://youtu.be/-nVVIqcVRBk?si=6bUB-3XWUgN9Um7D!
Ukomeeeeeeee kuwa msemaji wa moyo wa mtuMapenzi hayaingiliwii, nimekosa mie, nimekosa sana.
Ndiwoooo...Nichagulie cha kusuka kwanzaaa madame Sitaki nywele za hekahekaaaa!Utakuwa cute sana. Hapo saluni sio?
From you to Birthday gal Tayana-wog 😁🐒Hujasema special dedication kwa nani ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Ukomeeeeeeee kuwa msemaji wa moyo wa mtu
Asante sanaPolee
Chukua hizo BrazilianNdiwoooo...Nichagulie cha kusuka kwanzaaa madame Sitaki nywele za hekahekaaaa!
Wee mchawi ninii😁Chukua hizo Brazilian
Zombie wakawaida sana Mie hata usipoteze muda kuimagini !Bila foto yako naweka mgomo. Maana huwa nakuumba figure fulani hivi shepu nyigu yaaani amazing lady. Sema ndio🤣🤣
Mkono tu nimeona. Yaani. So soft and sexy🤣🤸♀️Zombie wakawaida sana Mie hata usipoteze muda kuimagini !
Tupia fasta kabla hiki kichwa hakijapata jam😀Niko na bukta tu tangia nimeamka. Na yenyewe mnataka kuona?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mambo kibao mwisho wa mwaka huu ni mwendo wa Zima motoUlipotea
Mi najua ulivyo. Figa amazing. SoftWee mchawi ninii😁
Kuna muda nilichukua nikaiangaliaaaaaaaaaaa!
Mwehh kono la kushika sufuria yamoto bila kuungua tangu lini likawa laini😁!Mkono tu nimeona. Yaani. So soft and sexy🤣🤸♀️
Totally wrongMi najua ulivyo. Figa amazing. Soft
Huo mkono unaye mshika anafaidi. Ingekuwa mimi nazima kabisa🤣🤣Mwehh kono la kushika sufuria yamoto bila kuungua tangu lini likawa laini😁!