Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Si uende matombo!!
Wewe ulipewa chaka na wajukuu wa Abood unashindwa kufanyia kazi.
Ila Gang niliyokuwa nayo ilikiwa inanipa pressure.
"Hey zungu,uko matombo wanaenda watu kuchukua uchawi sana"

"Hata hawa wanaenda huko kwa ajili ya buses zao ili watoe kafara"
🀣

Hakika ile miaka ilikuwa ni ujingaπŸ™Œ

Msalimie shemeji yangu wa utotoni mr "Y", makazi yake Dubai kwa sasa...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mfyuuu!!
Sema unataka nikazie hapo kwa chugaman.
Serious...

Sikuwa nimeeelwa ila nimepata majibu,sipendi aibu ndogondogo zinioneshe mimi mshamba ndio maana sikutaka kuweza wazi wapi sikuelewa.🀣
 
Nawe ulizidi ubabe na kutaka kula gabacholi kimasihara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema walikutisha wala harogei matombo, Yule uchawi wake anausafiria kwa kina Okwonkwo Legoo uko na Malawi

Naona unataka niachike sasa!! Y ndio nani?! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Serious...

Sikuwa nimeeelwa ila nimepata majibu,sipendi aibu ndogondogo zinioneshe mimi mshamba ndio maana sikutaka kuweza wazi wapi sikuelewa.🀣
Bora usielewe hivo hivo 🀣🀣
 
Nawe ulizidi ubabe na kutaka kula gabacholi kimasihara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema walikutisha wala harogei matombo, Yule uchawi wake anausafiria kwa kina Okwonkwo Legoo uko na Malawi

Naona unataka niachike sasa!! Y ndio nani?! πŸ˜‚πŸ˜‚
Mzee patel aliniambia nitakuwa jambaziπŸ€£πŸ™Œ, baada ya issue ya mwisho nzito kudhamiria kuifanya,nilipewa kichapo nikawa mwekundu na chozi halitoki.

Huwezi kuachwa mdogo wangu,uzuri si hukumpea kwa bibi 🀣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…