Inawezekana πππKwahyo kaka yako timbulo?
Leo nimebahatika kumuona @ Mshana Jr au macho yangu hayako sawa? πββοΈπββοΈπββοΈ
Eee ndio πππHahahaha nimecheka kinoma! Dada mshenzi sana wewe!
Kwamba katika rohoβ¦β¦ tunayaweza yote!
Mimi mkinga nikatafute dawa uluguruni?! Dawa zote zilizojaa Makete?! Eβm nitake radhi bro ππππ€£π€£
Imani yangu ikanijenga wote wanaopafahamu huko wachawi,
Hukwenda kutafuta dawa kweli huko?π€£
Njoo huku Samonge kwa babu tunachoma dhahabu upate gram za urembo wewe.πππ Tajiri kumbe mzaramo!! Tulijimix shouga!! Bora ubanane kwa Jux π
ππππ Sawa tajiri nakujaNjoo huku
Njoo huku Samonge kwa babu tunachoma dhahabu upate gram za urembo wewe.
Kamati ya roho mbaya tuππππ Tayana-wog khanga yako umeiona?!
Huyu mumeo mswahili, umeyakanyaga utachambwa had ukome πππ
ππππ Sawa taji
ππππ Tatizo tajiri maneno mengi, shouga angu mpk ngashtuka anatapeliwaKamati ya roho mbaya tuπππ
ππππ Tatizo tajiri maneno mengi, shouga angu mpk ngashtuka anatapeliwa
Mimi bday niiotoe wapi?! Hata tarehe niliyozaliwa sikumbuki!! πππUlisema akaunti nikuwekee ile 01J..... au ile 022..... kwa ajili ya bday yako?
Hapo kwanza ncheke π€£π€£π€£π€£Mwambie atulie atumie hii hela ninayotafutia huku migodini ππββοΈ
Tafuteni wa kutumia nao. Lingeni njoo na mr wakouliyemkimbiaππMimi bday niiotoe wapi?! Hata tarehe niliyozaliwa sikumbuki!! πππ
Bday ya Tayana anazaliwa pamoja na Jesus.
Wewe muwekee pesa ya cake, kwangu utume ya vinywaji π
Basi nampa kadi na passwordHapo kwanza ncheke π€£π€£π€£π€£
Sema tu nimekamatika.Inawezekana πππ
ngoja fifi bae atupie kwanzamshamba_hachekwi shem tupia!!
Si ulikuwa unalalamika hupendwi? Haya sasa kazi kwako ππππ
Eeeh !umeshinda mama country ππMimi mkinga nikatafute dawa uluguruni?! Dawa zote zilizojaa Makete?! Eβm nitake radhi bro πππ
ππππ Unalo babu limekugandaπTafuteni wa kutumia nao. Lingeni njoo na mr wakouliyemkimbiaππ