Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wajukuu wa Abood wamepajuaje matombo kwenye mizimu ya kolero?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au babu yao ndiko anakoenda kuroga?!
 
I'm all ears...spill the secret about those magical,syeeeeeksiiii fingers of yoursπŸ˜‹..
What's the sweet surprise your fingers are up to mama?🀀
Man Zulu man! Let's wait until nightfall, I have something to share then….
 
Wajukuu wa Abood wamepajuaje matombo kwenye mizimu ya kolero?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au babu yao ndiko anakoenda kuroga?!
🀣🀣

Imani yangu ikanijenga wote wanaopafahamu huko wachawi,

Hukwenda kutafuta dawa kweli huko?🀣
 
Kabisaaaa!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawajui km na sie tunayaweza katika yeye atutiaye nguvu πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Hahahaha nimecheka kinoma! Dada mshenzi sana wewe!

Kwamba katika roho…… tunayaweza yote!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…