I'm all ears...spill the secret about those magical,syeeeeeksiiii fingers of yoursπ..Thanks champ! They are Good at it tooβ¦β¦ Guess what!! π
Hizo sehemu sasa,hivi wewe mwenyeji Tanzania nzima?π€£Eee ndio πππ
Tena kisambwa uko, kuja kukusalimia mpk tuvuke mto kwa kuogelea
Rangi nimeielewa
Afu kweli shem tuma, muda sijakuona na ile minywele yako. Halafu ulianza gym niliona kifua km chote πbinti mshamba kanikataza,
saivi mi naview tuπ
Thanks shougaaa, ni kazuri sana.Rangi nimeielewa
Kesho naipakaππ
Umenoga
π€£π€£π€£π€£ Mello atuwekee sehemu ya voice note jamani!! Nachoka kutype!! Nilitaka nikupe story ya hiyo sehemu jinsi nilivyofika uchekeHizo sehemu sasa,hivi wewe mwenyeji Tanzania nzima?π€£
SanaaThanks shougaaa, ni kazuri sana.
Enheee bwana maisha Usawa! 50/50 πYa nini kujitesa, atume picha naye achukuliwe parachute πππ
Siipati picha ikijija hiyo ya voice noteπ€£π€£π€£π€£ Mello atuwekee sehemu ya voice note jamani!! Nachoka kutype!! Nilitaka nikupe story ya hiyo sehemu Hindi nilivyofika ucheke
Kwa maneno hayo tyr ushajichukulia sheria mkononi πππI'm all ears...spill the secret about those magical,syeeeeeksiiii fingers of yoursπ..
What's the sweet surprise your fingers are up to mama?π€€
Yah ngozi mashallah japo si wajua aifoni ikikutana na kajua π€ͺSanaa
Na rangi yako hiyo π
Ukienda ulaya we si itakua balaaa,bongo tu una rangi ya ngozi tamu hivo
Kabisaaaa!!! πππEnheee bwana maisha Usawa! 50/50 π
Jmn sie watumia Infinix πππYah ngozi mashallah japo si wajua aifoni ikikutana na kajua π€ͺ
Thanks mrembo π
Ije kuna comments ni za kureply kwa voice note ujue πππSiipati picha ikijija hiyo ya voice note
siamini kama hiomikono na miguu niyako hadi unioneshe tena
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Mello atuwekee sehemu ya voice note jamani!! Nachoka kutype!! Nilitaka nikupe story ya hiyo sehemu Hindi nilivyofika ucheke
Hapana ,hizo tabia za kijana mshamba hachekwi.π€£πKwa maneno hayo tyr ushajichukulia sheria mkononi πππ
weka picha Shadrack mtoto wa GSMsiamini kama hiomikono na miguu niyako hadi unioneshe tena
Mzuri mzuri tu shogare, we mbona kisu kikali kabisa! Au unadhani sijakuona?Jmn sie watumia Infinix πππ
Picha zetu mtuvumilie tu
Make sure sauti yako haikosi itapokuwa tayari,sauti nyororo zinanikonga nyoyo sanaπ.Siipati picha ikijija hiyo ya voice note