Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Picha tu haina shida mama.

Hahaha Hiyo ngoma nzito hapana...naishi matombo,Hapa mjini Dar es salaam nimefika kwa lift ya trucks za mizigo tu.
Weka nasubiri hapa πŸ‘Œ
Matombo mkuyuni? Au kiroka?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uishi matombo halafu usipajue mkuyuni na kiroka?! Kweli? Basi muongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naipenda sana hiyo sehemu yaan kwa kuisikia tu ilikuwa inanipa vibe hadi sasa na nilitamani kufika hata nione mazingira yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…