Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivi unajua hata id yake nimeisahau!! Hebu ikumbuke tumuite tujue yuko wapi? Km kafichwa twende na polisi tukamtoe km yule diwani na Ashura
Ashura nomaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Id ndefu ngoja nitafute kwanza nitakuita
 
Umesoma forest hill na humfahamu zungu?vuta picha aiseeh
Wewe weka picha, tuanze kutaja code wanaha waanze kuibuka na picha zetu inahusu?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usije kuwa wewe ngoma nzito 🀣
 
Wewe weka picha, tuanze kutaja code wanaha waanze kuibuka na picha zetu inahusu?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usije kuwa wewe ngoma nzito 🀣
Picha tu haina shida mama.

Hahaha Hiyo ngoma nzito hapana...naishi matombo,Hapa mjini Dar es salaam nimefika kwa lift ya trucks za mizigo tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…