Na mie usinisahauAhaaa Hivi ile ya Biashara ya uber ulimaliza kuisoma??
Saizi nyingi hazivutii kabisa usijali ikitupiwa karee ntakustua kam kauwaaa!
Masogange?
🌹Usijareee Najua ni utani rafiki samalekooo 🖐️!
Yaani mimi lastborn umeninyima picha😂
Sawa tu😒Na ulivyo king'ang'anizi sasa kwa jambo lako😁😁😁
ANasemaga Chakorii
Usijali cousinNa mie usinisahau
Si utakuwa bado single. Au Kantrii sio zimwi likujualo tena[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] mxiewwww!! Ngoja coca aje km hajakuacha na yeye unamponda
Sitaki kuwatisha mkimbie thread 😁Malizia likamilike basi Dr.
Zimwi likujualo😊Si utakuwa bado single. Au Kantrii sio zimwi likujualo tena[emoji16][emoji16]
Cuzoo wa coca hauna mbambambaa ni live bila chengaaa!
Hamtaki KantriiiZimwi likujualo[emoji4]
Single ndio nini? Na kantry ndio kitu gani? 😂😂😂Si utakuwa bado single. Au Kantrii sio zimwi likujualo tena[emoji16][emoji16]
mamdogo vp! Huonekani sana jukwaani au umeanza kupata tenda za kirisimasiSingle ndio nini? Na kantry ndio kitu gani? 😂😂😂
Watu na mazimwi yenu 😂😂😂Zimwi likujualo😊
Sema kweli 😂😂😂Hamtaki Kantriii
Nimefichwa na baba ako mdogo 😂😂😂mamdogo vp! Huonekani sana jukwaani au umeanza kupata tenda za kirisimasi