Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kuna story ni nzuri sana naonaga wee sio mdau kabisa!

Hio ngoja nikipata muda nipite nayo!
Yaani mimi hadi stori inivutie nisome
Mwandishi afanye juhudi za ziada

Nyingi nimeshindwa kusoma...ila hii nimeipenda .

Ile ya yule wa Goba kwa kweli nikichoka,,sijui hata niliishia wapi.
 
Sasa kuna ya Biashara ya uber ni yamoto balaa!
 
Ngoja nitafute

Ila kaandika huyo mwamba anaitwa TAI DUME
sijawahi muonaga akikatiza jf,ndio nimekuona kwenye stori.
Jamaa ni 🔥
Ila stori yake inabamba kwa sisi majobless

Wakemia na nyie matajiri itawachosha
Mwenyewe jobless reincarnation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom