Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Naomba upokonywe simu....wewe sio wa kukataa hela hata siku moja itakuwa umekosea kutype 🀣
 
Hapo sawa....khaaa ningeshangaa ukatae hela wewe labda kama sio mkinga
🀣🀣🀣🀣 Ningetengwa na ukoo mzima mpk ma bff wote!!
Sijakuona kitambo, nikajua safari imekwiva ya kwa shem anayegonga ngeli tamu JF nzima πŸ˜œπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Ndyo nilikuwa nataka nikublock hapa....
Nilienda Ile vacation ndyo nmerudi hapa napambana na hali yangu
 
Ndyo nilikuwa nataka nikublock hapa....
Nilienda Ile vacation ndyo nmerudi hapa napambana na hali yangu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu ww hushindwi!!
Weee!! Niambie koma!! E’m fanya chap unipe mchapo huo vizuri, huku ukisindikiza na mafoto ya vacay bff πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…