Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mtoa mada ameleta post nzuri ikikusudia MTU APOST ALICHOVAA YEYE
Ila watu wakaiharibu kwa kuanza kupost PICHA ZA VITU VINGINE na hata picha za warembo ambao wana post yao inayojitegemea......
Na mwenyewe pia mtoa mada amechangia kuharibu maana hizo picha pia anapost[emoji1787]


Shusha kitu Mkuu tusafishe macho
 
Nyigu si nyigu
Ni tembo cement sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu madam tubless zile picha unasolve kemia,wale ndugu zetu janjajanja histori hakuna kuingia laboratory na wenzie akina Maghayo waone nyota kidogo
Trobaaa ndo akina nani tena hao anne unaita wavamizi wewe 🚶🚶🚶!

Wazee tumestaafu rasmi Vijana uzi usiboe huu!
Haya tubless mrembo !🙇
 
Trobaaa ndo akina nani tena hao anne unaita wavamizi wewe [emoji124][emoji124][emoji124]!

Wazee tumestaafu rasmi Vijana uzi usiboe huu!
Haya tubless mrembo ![emoji144]
Mimi na maghayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtani wangu.


Huu msemo Kuna uzi tuliutoa...basi kila sehemu tunakumbushia tunacheka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…