Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

😳😳😳😳😳!

Doh kumbe 🙌🙌🙌🙌!

Inasikitisha sana asee!

Haya Fanya mafekechee utubles !
Washenzi ni wengi sana.
...m

Mimi ngoja nijifungue Junia kwanza🤣
Nilikuwa naringia flat tummy,ndo hiyo Junia amejaa tele.
Nakosa picha sasa za kuweka😂
 
Mtoa mada ameleta post nzuri ikikusudia MTU APOST ALICHOVAA YEYE
Ila watu wakaiharibu kwa kuanza kupost PICHA ZA VITU VYA AJABU AJABU na hata picha za warembo ambao wana post yao inayojitegemea.......na hii ndiyo hufanya watu wafeli mitihani hata ile mirahisi.....
 
Umeanza janja janja lini wewe?? Acha hizooo tubless kiuno nyigu hiko!
Nyigu si nyigu
Ni tembo cement sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hebu madam tubless zile picha unasolve kemia,wale ndugu zetu janjajanja histori hakuna kuingia laboratory na wenzie akina Maghayo waone nyota kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…