Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Ndio nimeingia hapa emu binti kiziwi fanya jambo mforest mwenzangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna zile ulizopiga zamani bwalo au mambo club?!! Au za choma milimani?
Hhhah umenichekesha sana.

ujue mimi nilikuwa nakaa hostel za nje, La miri.. πŸ˜‚ hope umezijua. Hosteli zilikuwa na masista duu zile visket juu ya goti πŸ˜‚
 
binti kiziwi kumbe uliweka ukafuta. Rudisha nisafishe macho. Sijaona vitu vizur foe ages si unajua niko shambani huku
Bwana Mi ntakutumia inbobo, huu uzi umenifadhaisha sana, nimetupia picha tena nimeziba identity zangu zote bado kuna mtu ameniambia amenijua aloooh!

Hata hivyo sijakata tamaa ngoja nikipiga picha.
 
Bwana Mi ntakutumia inbobo, huu uzi umenifadhaisha sana, nimetupia picha tena nimeziba identity zangu zote bado kuna mtu ameniambia amenijua aloooh!

Hata hivyo sijakata tamaa ngoja nikipiga picha.
Huyo anakupanikisha tu hakujui wala nini. Itakua anakupenda anshindwa kusema sasa ulivyoweka picha kapata wivu kwamba na wengine watafaid

PS. Nitumie sasa inbobo
 
Ndio nimeingia hapa emu binti kiziwi fanya jambo mforest mwenzangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna zile ulizopiga zamani bwalo au mambo club?!! Au za choma milimani?
Halafu Lamomy, Mambo Club ilikuwa ya SabaSita baba yake Tunda au ulikuwa uzushi tu, huko ndiko nilikomuona Majizo kwa mara ya kwanza, akijiita DJ. Majizo for Shizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…