Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

We sema nikutumie pm uone balaa la gigy na Amber. 🤣🤣🤣🤣
Usinifanye mshamba kaka yako🤣

Hata wakati napewa hii naulizwa na binamu zangu wa kike "hivi bro,unamfahamu Gigy? Katoa kitu ya utupu"
 
Nikichangamka hawachelewi kunireport kwa mods 😂😂😂
Sasa mtu anavamia comment anasema umenitusi anamaanisha nini?!! Au mlipangana?
Yeye Maua anamtoa jasho mpk leo hawajamalizana 😂😂😂
hiyo 'mlipangana' haijanibariki kabisa..!
 
Hiyo 'popcorn' haina maana yoyote tafadhali Glenn..!!
kuna mambo sibarikiwi nayo kabisa..!!
Wewe hubarikiwi lakini kichaa wa kwetu Lamomy anaelewa na huoni alivyokwambia kuwa kwa popcorn hujapatia yeye ni zaidi ya hapo?

Wewe tulia kamanda😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…