MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,159
- 12,720
Fanya kunitumia mimi peke yangu sasa usiku macho yangu yanakuaga na matatizo ya kutokuona vizuri umu jukwaani π€£Nishayatupia hum itakua kuna page umeziruka ndo maan hauyaoni[emoji1787]
Ooooh ila pia anatakiwa ajue kuwa mimi ni shabiki wako kipenzi hapa jf hasa linapokuja suala la πΈπΈπΈ πSouvenez-vous amezoea kuona likes zako zaidi. Unaweza kuta post zako huwa anaziruka....π
Fanya kunitumia mimi peke yangu sasa usiku macho yangu yanakuaga na matatizo ya kutokuona vizuri umu jukwaani [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kijana wa ovyo unakaba adi kimvuli
Achana naoπ€£Wana hasira na jimbo. Watasubiri sana[emoji23][emoji23]
βΊοΈπOoooh ila pia anatakiwa ajue kuwa mimi ni shabiki wako kipenzi hapa jf hasa linapokuja suala la πΈπΈπΈ π
Sio mchezo π πShem anapiga kampeni uchaguzi ukiwa umepita[emoji1787][emoji1787]
Funga pm kama tulivyoongea wasisumbu vi portable vyetu kitu[emoji108]Sio mchezo [emoji28][emoji23]
π€£πππNyie mtoto mkareeee huyu πππ
Km Millen Magese, hapa ngβombe tunachukua kuanzia 200 hutaki kaoe binamu zako
Nishafungaπ€£πFunga pm kama tulivyoongea wasisumbu vi portable vyetu kitu[emoji108]
sitaki kuamini katransaction ka afkumi ndo kamekuteka ivo π€£Achana naoπ€£
Kwa hizo ndevu ndo maana unajiita Nyani Ngabu,.. still unaundergo evolution ππ
Usimusikilize MFALME WETU ndio popobawa mwenyewe mzee wa ndumba[emoji1787][emoji1787]Nishafunga[emoji1787][emoji119]
Sitaki usumbufu
ngoja nikubali kamoyo kako karidhike π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda tuition dogo. Kaka zako tuko na shemeji zako.
Tumia usemi wa wakubwa wanafaidi[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki kuamini katransaction ka afkumi ndo kamekuteka ivo [emoji1787]
Ngoja ukue[emoji23][emoji23]ngoja nikubali kamoyo kako karidhike [emoji1787]
Atakuwa na Kalio huyo. Chukua hiyo formula[emoji16][emoji16]Mbona mnapost watu Hawana vichwa,..daaaah mambo gani hizo[emoji23][emoji23]
Ntakuchapa ππππ€£πππ
Niko njia panda ya neruka ππππ
Ukifika Mbagala Kuu niambie nije kukupokea!π