Tunataka mturingishie mafoto haya turingishieni ππππKabisa uduguuu blah blah nyizi zitafanya uzi ufungwe!
Hatuwezi kuuza mdogo wanguπ€£Tunakoelekea atauza sio kwa uzuri huo πππ
Tutalala nje nakwambia
Bado hamjafika πππWee tunatosha tupiaπ
Tupia wataikuta uduguuu!Mkifika kumi humu mseme nitupie foto yangu na Kantry π
πππ kwa moto huo wa wifi utauza weweHatuwezi kuuza mdogo wanguπ€£
Nimekamatika muda huu ghafla hata pic's zinanipita,njoo unisaidie kufukuzia mavumba nusu tumpatie mchumba.
Akhu nataka nitupie wote mkiwepo ili nifute chap ππππTupia wataikuta uduguuu!
Ndio utuwekee saii sasa hao wengine wametingwa!Bado hamjafika πππ
Nina foto la kibabe nikiwa na honeyyy π₯°π₯°π₯°π₯°
Niko na negotiate vitu na mtu hapa ila sasa uniombee pepo ya kuuza mali isiingilie maongeziπ€£πππ kwa moto huo wa wifi utauza wewe
Raha kuringishia wawepo wote mpk wenye visokorokwinyo waone ili wavimbe vizuri π€£π€£π€£π€£π€£Ndio utuwekee saii sasa hao wengine wametingwa!
Ndio utuwekee saii sasa hao wengine wametingwa!Bado hamjafika πππ
Nina foto la kibabe nikiwa na honeyyy π₯°π₯°π₯°π₯°
Kwanza kaka tuachane na hayo wifi umempa mzigo wangu??Niko na negotiate vitu na mtu hapa ila sasa uniombee pepo ya kuuza mali isiingilie maongeziπ€£
Ila Kantry ataninyonga nikirusha hiyo pic ππππNdio utuwekee saii sasa hao wengine wametingwa!
Ndio utuwekee saii sasa hao wengine wametingwa!Bado hamjafika πππ
Nina foto la kibabe nikiwa na honeyyy π₯°π₯°π₯°π₯°
Unataka part gani?????Tupia hata za zamani buana
Zote ila hips na sura zisikosekane πUnataka part gani?????
Anavokupenda Hawezi fanya hivo wee tubless tu jamani!Ila Kantry ataninyonga nikirusha hiyo pic ππππ
Itabidi Melo anipe ulinzi kwanza
Kunani Tena π€£Ndio unatoa na maneno ya kashfa rafiki?π€£
Usijali utapatiwa hata Tayana-wog ,maua,Faiza.
Sura ya baba siwekii weehπ! Ngoja niangalieZote ila hips na sura zisikosekane π
Mzigo atakupatia vipi nikimpatia?Kwanza kaka tuachane na hayo wifi umempa mzigo wangu??
Afu mpk muda huu unasubiri nini kumuanzishia wifi uzi wa kumsifia?!!
Watakupora shauri yako ππππ
Weee unanichuza? πππAnavokupenda Hawezi fanya hivo wee tubless tu jamani!