Umependeza
Sasa,hapo si atakuwa kitu cha General Galadudu ? Cheo vs cheo babuuuMajor General Antonnia
Nougaaa sanaa π!
Ahhh kumbe? Nyegezi corner kuna joto kimbiaMwanza Baridi nimevaa sweta kabisa na nimepata flue
Umependeza π₯°
Uwachukulie tairi lakiniNougaaa sanaa π!
Sasa wewe, limuili,hilo, kilometa hizo,mvi, katoto ka watu?! Kuwa na huruma basi buraza
Hii ndo All In One au?
Sijaelewa nilikimbia umande ndugu πHii ndo All In One au?
Mwanamke staraaaaahh!!
Asante mwayaMwanamke staraaaaahh!!
Umependeza kipenzi!ππ!
Tena Huyo alipita naked kabisa!!!πππMwambie arudie mm sijaonaila Wii wewe kiboko ππ
Wee usiniambieTena Huyo alipita naked kabisa!!!π
Ndiwooo dear!Wee usiniambie
We ulikuwa wapi Jana!Sijaonaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui alikua na anaswampia wapi hata na alipitwa sio kidogo!We ulikuwa wapi Jana!
Uzi ulikuwa wa moto π₯π₯π₯π€£
Ulikuwa unasoma 5G
Selfi za naked
Woiiiiπ€£π€£π€£
Kwan uongo?! ππππ π π π Mbavu zangu, kwenye kumsumbua mtumishi hapo Sasaπππ