Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Jamani njooni mtupie mafoto nataka nikalale 🀣🀣🀣
 
Acha unywanywaa tupia mafoto uduguuu huu uzi tumeambiwa hautaki story nyingi lasivo utafungwa!😁
Nishatupia sana huo mpira leo unasubiriwa na wengi khaa!!
Kuna mtu yuko busy hapa naye anataka kucheck mechi ya Taifa stars
 
We umechanjiwa hela πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‰
Bff maokoto Tayana ananikwaza sana leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kataka pesa ya boot, Wadau wamekuja afu anazingua kufungua piem na kazi kanipa mwenyewe ya kuita wanunua mabuti 🀣🀣🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…