Usijalee kumekucha kula tu ndo kilichobaki πππhakuna gari ya afu 7Kikiva nistueπππ!
Kam kauwaaaaa mamaa masaptasaptaaa uko vizureeee!
Subiria mserereko Mama hana jambo dogooππ!Usijalee kumekucha kula tu ndo kilichobaki πππhakuna gari ya afu 7
Hahaaa ni kweli sitaniikeyboard warrior
Unatype balaa
Tamba baba, you're so handsome πWacha nitambe[emoji41][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya buannah! Maokoto kwanza u-handsome baadaeTamba baba, you're so handsome [emoji3]
Wanaume hampendi kusifiwa eehπ tutawasifia hivo hivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya buannah! Maokoto kwanza u-handsome baadae
Hili limepita π€£πAisee itabidi nikutoe out week end. Tulia. Hebu vuta pumzi. Usihofu. Toa namba[emoji1787][emoji1787]
Nailed. Shem. Usikae mbali naye. Nakupa upendeleo wa kuchagua pa kqenda. As lady's first is a rule
π€Shida inaanziaga hapa watu kuchukulia vitu vya hapa seriouslyKumbe humu mwanzoni watu walikua wanajitambulisha kwa sura zao. Ohoo
Huu uzi usiuchukulie that siriaz, watu tupo apa kupoteza muda na kuhave fun maana uko kwenye real life huo muda hatupati π€
Lamomy uko wapiπNailed. Shem. Usikae mbali naye. Nakupa upendeleo wa kuchagua pa kqenda. As lady's first is a rule
Nimekuja kusikia kuna maokoto yanamwagwa huku πππ
Boss mzigo ushaingiza?? Miluzi mingi inapoteza mbwa πππNailed. Shem. Usikae mbali naye. Nakupa upendeleo wa kuchagua pa kqenda. As lady's first is a rule
Umejuaje?? Hapa nimekumbatiwa π₯°π₯°π₯°Kule aliko anawaza Dec aanze kula kwa kuchagua. Atakuwa analishughulikia. Wee mu invite mtoko
Naongea pole pole shem asijue una kwacha . Ni wewe kufungua ulikofunga utaona notification fastaBoss mzigo ushaingiza?? Miluzi mingi inapoteza mbwa [emoji23][emoji23][emoji23]