trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,546
- 11,132
Definition of sexy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Here we go
Huyu hapa Mrs Kantry [emoji23][emoji23][emoji23]
Definition of sexy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Here we go
Huyu hapa Mrs Kantry [emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki dhambi mimi 😄Nimecheka ila ww
Umenishinda tabia 🙌🤣
Mbona Kuna pic km imenipita jmn🤣🤣🤣🤣 sawa
SawaSitaki dhambi mimi 😄
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata pesa za kujilipua bas nnazo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ukivichoka hivo vyako nipe my [emoji12]
Sina pesa japo pesa sio tatizo 😁Sawa
Ndio ile ile bhana 😂😂😂Mbona Kuna pic km imenipita jmn
Rudia bana
Kuna occasions high heels is a must yaani ukivaa flat unajikuta umepwaya kabisa.Ndo mie hapa
I'm addicted,siwezi kuvaa slippers sijui viatu flat
Event,matukio, church, parties siwezi kabisaa
Chalii hatujawahi damu zetu kuendana achana naye 🤣🤣🤣Jamani [emoji849][emoji849][emoji849]
Wifi 😂😂😂Yaani mpaka nimesisimka❤😂
😂😂😂😂 chart ishapanda
😍😍😍Definition of sexy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
KumbeeeChalii hatujawahi damu zetu kuendana achana naye 🤣🤣🤣
Mi nishamzoea hanipi shida
🤣🤣🤣 khaaaa!!Wallah nakwambia 😂😂😂.
Country anakula pazuri sana🙈
kadamnasi ya leo kubwa sana, fungua nikwambie wewe peke yakoMtaje tukuombee afungue
Huchoshi wallah😂🤣🤣🤣 khaaaa!!
Nimetupia zangu hivi, weekending..