CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Kikorea kina panda siku hizi [emoji849], au Mpaka utembee na dictionary.
,[emoji117]Kama sie waangalia tamthilia za kikorea zenye subtitles [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Tayana-wog nilikwambia toka mapema [emoji23][emoji23][emoji23]
πππ Afu ukamkamate ankol maba umrudishe tena polisi!!πππππππ Ngoja badae nikuwekee ya kikamanda niloweka poziπ
Yaani nimecheka π uwiiiiUnajifanyaga una mambo mengi wewe ukishapokea kibunda!!! Mara niko Mwanza kwenye kongamano simu haziruhusiwi!!
Kwa Kantry nisingekaza mpk leo msingenipa zile pesa za mgao πππ
Sasa CAPTO atume afu ole wako uanze kusema tuko kwenye maombi ya mwezi Dodoma ntakufata uko uko π€£π€£π€£π€£
Nifahamu kama unafaa kupatiwa Wedding inv.cardπ€£Unataka ugundue nini mfyuu βΊοΈ
Asante rafiki,card utaikuta mlangoni hapoπ
Unanichukulia poa eeh mfyuuu!!Nifahamu kama unafaa kupatiwa Wedding inv.cardπ€£
Kumbe tuko kuchangamsha kijiwe πππYaani nimecheka π uwiiii
Mtu akisoma hapa anajua watu tunapataga Hela humu π€£π€£π€£
Sawa mpendwa nitakutumia no si Ile Ileπ
Mama Miongozo naomba gauni πππUnanichukulia poa eeh mfyuuu!!
Today 21/11/2023
π€£π€£π€£Unanichukulia poa eeh mfyuuu!!
Today 21/11/2023
Jamani ππππ
π€£π€£π€£πππTayana-wog nilikwambia toka mapema πππ
Kumbe tuko kuchangamsha kijiwe πππ
Na wanaume nao sasa wanavyojishaua km wanatoa kweli!!! Wajichanganye piem wapenda pesa waone π€£π€£π€£
Watajua hao watu wanatoa pesa!!π€£π€£π€£πππ
Utajua haujui