Dactar wizzy
Member
- Jul 13, 2013
- 33
- 5
Kama umeuwona moyo wangu jinsi unavyo angaika kwa kudunda dunda kama kitenesi,nilikuwa naomba msichana yoyote aliyewahi kucheza lede audake moyo huuuuuuwooooo!!!
Kaniruhusu tena kiroho saafi, kasema yeye atakuwa bize na msiba wa bilionea..
Mwambie huyo pepo amtoke fasta....na HUDANGANYIKI.
Mwambie huyo pepo amtoke fasta....na HUDANGANYIKI.