Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,479
Katika siku moja ya nyuma tarehe 19 basi mwezi wetu ulikuwa umemaliza ule mzunguko wake katika kuzunguka dunia yetu na hatimaye katika siku ya jana pia uliingia mwezi mpya ambao huwa tunaita mwezi mwandamo.
Katika nyakati za mwezi ukiwa katika hali ya mwandamo hupotea katika.macho yetu kwa muda fulani kwakuwa mwanga wa jua huwa aufiki katika enro lolote lile la mwezi wetu ili mwezi uweze kuhakisi mwanga huo na tuweze kuuona.
Kesho tarehe 22 kwa mara ya kwanza tutaweza kuuona mwezi ukiwa na hali ya udogo sana yaani eneo dogo la mwezi liliwa limeweza kupata mwanga na kuhakisi huku duniani kwetu.
Hatua hiyo kitaalamu inaitwa mwezi wa Waxing crescent yaani mwezi huwa na mwanga katika upande wake wa kulia na kuendelea kujaa kwa kuelekea upande wa kushoto.
Katika siku ya kesho utaweza kuona mwezi ukiwa karibu na sayari ya jupita na venus kwa ukaribu zaidi.
[emoji625]Moudyswema
[emoji625]Tanzaniascienceyetu
[emoji625]AstronomyKiswahili.