Umetumiwa message ngapi na TAKUKURU leo

Umetumiwa message ngapi na TAKUKURU leo

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Mpaka muda huu umetumiwa sms ngapi na TAKUKURU? Huku rekodi inasoma sms tano ndani ya siku moja 😃
 
Nielekeze kuna sms zina kuja za ovy
Ukifungua msg kwenye vidoti vile vitatu juu upande wa kulia, click halafu itakuletea options nyingi. Chagua ile iliyoandikwa "Block & report spam". Hii ni kwa Android phones lakini
 

Attachments

  • Screenshot_20251008-044127_1.jpg
    Screenshot_20251008-044127_1.jpg
    152.8 KB · Views: 8
Mpaka muda huu umetumiwa sms ngapi na TAKUKURU? Huku rekodi inasoma sms tano ndani ya siku moja 😃
MAKAMPUNI YA SIMU NI YA FISADI ROSTAM AZIZI NDIYO SABABU ...YEYE ANAKUSANYA TU PESA KWA HAYO MATANGAZO ....SASA IMEFIKIWA UNATANGAZIWA KITU AMBACHO HIYO HUDUMA HAIPO NA NAMBA UNAZO PEWA AZIFANYI KAZI ILIMRADI TU ROSTAM AZIZI ALIPWE PESA NA SERIKALI KWA KURUSHA MATANGAZO.


PIA kuna jambo nilidhani wapinzani na watanzania kwa ujumla watalijua ila nimeshangaa hadi sasa awalijui wala kuchukua tahadhari nalo ...jambo penyewe ni ili 👉 JE UNAJUA KWANINI JAMBAZI ROSTAM AZIZI ALINUNUA MAKAMPUNI YA SIMU MARA TU BAADA YA JPM KUFA AU WAPUMBAVU MNADHANI ALIKUWA ANATAKA KUWEKEZA TU AU KUFANYA BIASHARA😁😁😁 NI HATARI NA NUSU ?.....Poleni sana watanzania kwa kukosa kwenu akili laiti mngemiliki hata asilimia 10% tu ya akili yangu mngekuwa viumbe bora sana ....kwenye hii hoja kuna mambo mengi sana ya hadi utekaji unao endelea mauaji na udukuzi na kufuta ushahidi....kuanzia ushahidi wa ufisadi walio fanya na wanaofanya na watakao fanya ...kuja ushahidi wa wasio julikana na mauaji yao hadi USHAHIDI WA KIFO CHA JPM ....SASA HIVI MAFISADI WOTE WANATUMUMIA RAINI ZA MAKAMPUNI YA SIMU YALIYO CHINI YA ROSTAM AZIZI ...NDIYO MAANA HADI WAFANYAKAZI WA SERIKALI WAMEANZA KUAMRIWA KUTUMIA RAINI ZA MAKAMPUNI YA BWANA ROSTAM LENGO KUU SIYO BIASHAR ☠☠☠☠☠☠☠☠☠☠☠☠☠☠☠🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞🔞
 
Back
Top Bottom