Umetumia miaka mingapi ukiwa usingizini?

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Nitatumia hesabu rahisi sana kueleweka kuelezea hili.

Tuchukulie wastani unalala masaa 7 kwa siku,

7(hrs) x 365 days = 2555 hrs/days

2555 hrs/days / 24hours = 106.46 days

Hii inamaana kwa mwaka endapo ukiwa na wastani wa kulala masaa 7 kwa siku basi jumla ya siku 106.46 katika mwaka utakuwa umezipoteza ukiwa usingini.

So tukichukulia wastani huo huo kwa umri wa mtu wa miaka 30.

30 years x 106.46 days = 3,193.75years/days

3,193.75years/days / 365 days = 8.75 years.

So kwa mtu mwenye miaka 30 ambaye wastani hulala kwa masaa 7 kwa siku basi anakuwa ametumia miaka 8.75 akiwa usingizini tu.

Piga hesabu kulingana na wastani wako wa muda wa ulalaji na umri wako
 
Yani kupiga hesabu hapo mpaka naona uvivu kwa sisi vilaza wa hesabu ila nahisi mimi ntakuwa nimeshalala miaka kama 9 hivi.
 
Dah... hapo ukitoa umri wako unaweza jikuta hujala chumvi hata kijiko... ulikuwa umelala all the time... teh teh teh
 
Nitatumia hesabu rahisi sana kueleweka kuelezea hili.

Tuchukulie wastani unalala masaa 7 kwa siku,

7(hrs) x 365 days = 2555 hrs/days

2555 hrs/days / 24hours = 106.46 days

Hii inamaana kwa mwaka endapo ukiwa na wastani wa kulala masaa 7 kwa siku basi jumla ya siku 106.46 katika mwaka utakuwa umezipoteza ukiwa usingini.

So tukichukulia wastani huo huo kwa umri wa mtu wa miaka 30.

30 years x 106.46 days = 3,193.75years/days

3,193.75years/days / 365 days = 8.75 years.

So kwa mtu mwenye miaka 30 ambaye wastani hulala kwa masaa 7 kwa siku basi anakuwa ametumia miaka 8.75 akiwa usingizini tu.

Piga hesabu kulingana na wastani wako wa muda wa ulalaji na umri wako

Kimahesabu haya mahesabu yako yako sawa, ila kuna few exceptions kwa makundi ya watu...

how_much_large.jpg

Kwa sisi ambao tunakesha kama cnn muda wakulala ni mchache sana ukilinganisha na akina Nyasiro ambao ikifika saa nne washategeshea torrent ni kulala tu
 
Last edited by a moderator:
Yeah on average mtu analala 7 years katika maisha yake!! Kuna one guy i saw once on tv hakulala 6days alikua anaelezea experience yake!
Day1:Kutoona vizuri, kuchoka, na mwili kua mzito!!
Day2:Uzito wa mwili unaongezeka inakua ngumu kufocus kwene jambo! Mara joto mara baridi!
Day3:unakua na Njaa kali! Ghafla unajiskia uko fresh na unaweza ku focus ila in reality huwezi!
Day4: kuchoka kunarudi, na jamaa anaelezea kua ndo closest feeling to death he ever had. Yaan unaskia kabisa mwili unakufa, ndo alichosema!!
Day5: Hallucination zinaanza, muda unakua huelewi unaendaje tena, mara anasema yupo amekaa na familia wanaongea ghafla anajikuta chumbani kakaa! Kila mara mtu anakua anagonga gonga mlango na madirisha ila haonekani!
Day6: Visual hallucination, hapa ndo unaanza kuona vitu vya ajabu mbele yako!
Actually scientists say if you don't sleep for about 10 days and above you will die!! Lack of sleep alone lowers your immunity so bad that diseases will be common to ya just cause of that! Still researches are done on the matter to find out why do humans sleep alot
 
Mi sijafanya hesabu hiyo
.
Lakini nadhani nimelala for 5 years
.
Natumaini hapo miaka kama mitatu imeongezeka coz Sikuwa na modem
.
Ila now nalala sana..... Kuna vitu naviweka sawa
 
Kimahesabu haya mahesabu yako yako sawa, ila kuna few exceptions kwa makundi ya watu...

how_much_large.jpg

Kwa sisi ambao tunakesha kama cnn muda wakulala ni mchache sana ukilinganisha na akina Nyasiro ambao ikifika saa nne washategeshea torrent ni kulala tu

Yah ni kweli, Sema tu niliamua kufanya kama approximation, hapo ukipiga hesabu utagundua umelala kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo
 
Mi sijafanya hesabu hiyo
.
Lakini nadhani nimelala for 5 years
.
Natumaini hapo miaka kama mitatu imeongezeka coz Sikuwa na modem
.
Ila now nalala sana..... Kuna vitu naviweka sawa

Ngumu hiyo mkuu, tena ukitumia table aliyotoa C6 pale juu ndo kabisa... utakuta kwenye miaka 7-10 ulikuwa unakoroma tu
 
Last edited by a moderator:
Hakuna unachopoteza hapo,kulala ni hitaji la msingi la kimaumbile,lazma ulale na huwez kusema mda uliolala umeupoteza,kwamba umeenda bila faida,kama unataka hvyo usipoteze acha kulala ili usipoteze mda,hlo ni jambo moja umesemea,mbona hujaongelea msosi ambao kwa wastan mtu hula tani mia za msosi kwa maisha yake,je unaweza kusema amepoteza tan mia,kama unataka usipoteze acha kula,watu wengne wanaleta hoja za kutengeneza faida kwenye mambo ambayo sio ya msingi.
 
Nilivyo anza kusoma point yako nilikubali kuwa kweli hupotezi muda kwa kulala, ila katika hoja yangu neno poteza lipo sehemu moja tu.

Lakini nilivyoendelea kusoma comment yako nikaanza gundua ujinga wako umeanza kujitokeza,

Kwanini nisiseme mtua amepoteza tani ngapi za chakula? Kwani nilazima nilete fact zote za kuhusu binaadamu? Ok ningeleta na huo uzi, ungeuliza mtu hutembea wastani wa kilomita ngapi maishani?

"watu wengne wanaleta hoja za kutengeneza faida kwenye mambo ambayo sio ya msingi."
Unaweza kueleza ni faida gani ninayoipata kwa kuandika juu ya mada hii?

Hakuna mtu aliye sahihi kwa asilimia 100%, unaweza kukosoa na mtu akakuelewa sio kuanza kulete maneno yasiyo na msingi.
 
yameisha bwana mkubwa!haina haja ya maneno mengi mkurugenzi.
 
aisee mimi mbona imekja miaka 15 au nakosea wapi..
 
Back
Top Bottom