Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Jun 21, 2016 22,137 48,808 Dec 28, 2016 #41 isotaaaa said: mbali wap mkuu mbunguni au ? wakristo wanamsubiri yesu alisema ataludi bado hajalydi nazani hajafika. . Click to expand... Kuna mtu alikua anatuma hela ajengewe nyumba kwa zaidi ya miaka 7,alivyorudi akakuta nyumba ya mbao.
isotaaaa said: mbali wap mkuu mbunguni au ? wakristo wanamsubiri yesu alisema ataludi bado hajalydi nazani hajafika. . Click to expand... Kuna mtu alikua anatuma hela ajengewe nyumba kwa zaidi ya miaka 7,alivyorudi akakuta nyumba ya mbao.
isotaaaa JF-Expert Member Sep 16, 2016 1,944 823 Dec 28, 2016 #42 kisu cha ngariba said: Kuna mtu alikua anatuma hela ajengewe nyumba kwa zaidi ya miaka 7,alivyorudi akakuta nyumba ya mbao. Click to expand... umesema.nyumba ya mbao no nyumba.mi nlifikiri kibanda mkuu
kisu cha ngariba said: Kuna mtu alikua anatuma hela ajengewe nyumba kwa zaidi ya miaka 7,alivyorudi akakuta nyumba ya mbao. Click to expand... umesema.nyumba ya mbao no nyumba.mi nlifikiri kibanda mkuu
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,707 60,767 Dec 28, 2016 #43 Ushimen said: Mbona anashabihiana na Le Mutuz.... Click to expand... Ndiyo yeye haswa
Odhiambo cairo JF-Expert Member Jul 11, 2015 15,989 22,057 Dec 28, 2016 #44 Kwa ukweli kufika mjini na majuu ukasahau unapotoka ni utumwa mkubwa zaidi. Mungu aepushe kizazi changu na ulofa huo
Kwa ukweli kufika mjini na majuu ukasahau unapotoka ni utumwa mkubwa zaidi. Mungu aepushe kizazi changu na ulofa huo
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,221 85,358 Dec 28, 2016 #45 DOUGLAS SALLU said: Ndiyo yeye haswa Click to expand... Le M-bebez.... Le Balloon.... Le Mutuz.... Le King of Social Media...
DOUGLAS SALLU said: Ndiyo yeye haswa Click to expand... Le M-bebez.... Le Balloon.... Le Mutuz.... Le King of Social Media...
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,280 Dec 28, 2016 #46 isotaaaa said: ya kweli au story bongo movie mkuu. Story yetu maana watz kwa editing aaaaa...tupo vizuri Click to expand... Ni kweli tena ni professor anaeishi Marekani.
isotaaaa said: ya kweli au story bongo movie mkuu. Story yetu maana watz kwa editing aaaaa...tupo vizuri Click to expand... Ni kweli tena ni professor anaeishi Marekani.
isotaaaa JF-Expert Member Sep 16, 2016 1,944 823 Dec 28, 2016 #47 Sky Eclat said: Ni kweli tena ni professor anaeishi Marekani. Click to expand... aaaa professor! !!!
B bonabana JF-Expert Member Mar 5, 2016 423 512 Dec 28, 2016 #48 Ndugu zangu ombeni yasiwakute, yasikie kwa mshikaji au umu ndani ya jamii yaani ni balaa.