Umetoka zako Ughaibuni kuja kula Krismasi... Halafu!

Kwa ukweli kufika mjini na majuu ukasahau unapotoka ni utumwa mkubwa zaidi. Mungu aepushe kizazi changu na ulofa huo
 
Ndugu zangu ombeni yasiwakute, yasikie kwa mshikaji au umu ndani ya jamii yaani ni balaa.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom