HSE Officer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 650
- 841
Kuna mambo mengine hata ukiwa serious lazima uonekane muhuni tu.
Baada ya kumcheki PM, kwanini usisubirie response yake?
Tulieni tuone inapoishia huenda deepPond anajiomba ajira mwenyewe...😂Kwa mujibu wa sheria za jf hutakiwi kuanika huku mambo ya PM
Nisaidie nipate kazi mkuuKuna mambo mengine hata ukiwa serious lazima uonekane muhuni tu.
Baada ya kumcheki PM, kwanini usisubirie response yake?
Nisaidie mzee nipate kazi mkuuMkuu huku utatukanwa.
Kwani.katika mazingira yako ya uhalisia hakuna watu wa kuwaomba kazi mpaka uje mitandaoni.
Labda kama una jengine unalitafuta
Sio kweli mkuuTulieni tuone inapoishia huenda deepPond anajiomba ajira mwenyewe...
Sawa mkuu nimekuelewaKwa mujibu wa sheria za jf hutakiwi kuanika huku mambo ya PM
SawaAnafunga mahesabu anakuja....
Ahha hhaMcheki pia Dr Kumbuka
SawaSio kweli mkuu
Kwamba Bwana DeepPond kaamua Kujipigia PA Mwenyew 🤣 watu mna vituko sanaTulieni tuone inapoishia huenda deepPond anajiomba ajira mwenyewe...😂
Tulieni tuone inapoishia huenda deepPond anajiomba ajira mwenyewe...