Umetoka kwenye familia ya aina hii?

Umetoka kwenye familia ya aina hii?

Mkuu aliekuambia kutazama maandishi na kuyakariri hadi chuo halafu ukitoka huwezi Maisha YAKO mwenyewe Hadi uajiriwe KWAMBA hio no baraka nani!!???Elimu ya tz kuwa Sasa haina maana zaidi ya kujua kusoma na kuandika tu!!!Achana na MAWAZO ya KIJINGA man!!
 
Kwatu tuna uwezo mkubwa wa kifedha KUAZIA upande wa baba ATA mama pia na kwetu tumezaliwa watoto wanne.kaka alisoma Hadi chuo,rkn sioni thamani ya elimu yake.dadaangu ameishi six,mwisho wa siku kaolewa na muuza mifuko k/Koo wanawake mungu anawaona.tokea hapo baba hakuona HAJA ya kuendelea kunisomesha na Mimi mwisho wa siku nimeishia la7.mdogo wangu akabezi ktk SoMo la Imani ambako mpaka sasa ni shekhe mkubwa apa DSM TZ.namshukuru mungu maisha sio mazuri sana na sio mabaya sana.nimejiajili changamoto yangu nafilithika mara kwa mara sijui kwa Nini?
Naweza kua duka kubwa miaka 3limeisha nasota napata Tena mtaji inaisha.mafanikio yangu Nia nyumba mzuri tu.kausafiri kangu na miahe ndogo ndogo zinaenda Jambo kinyonge...mwenye furusa anionyeshe...UTHUBUTU,NINAO..
 
Umakonde una msumbua, sa'bu ni m'bangubangu na huwez kumfananisha na mkimkuyu wa kenya au mnyambwa kule Kule mipaka ya nyanzablake zone, yaani wamakonde wapo nyuma sana km huja kaa lindi Mtwara au ubanguni msumbiji nenda kakae Mbagala mtoni au TMK kwa ujumla ndio uta wajua wamakonde yaani ni sheeda, maana hapo sja muelewa kua urogwaji wa family upo wapi !!? sasa yy hapo anajiona km Mungu mtu hapo ktk familia yao😂😂😂😂
 
Umakonde una msumbua, sa'bu ni m'bangubangu na huwez kumfananisha na mkimkuyu wa kenya au mnyambwa kule Kule mipaka ya nyanzablake zone, yaani wamakonde wapo nyuma sana km huja kaa lindi Mtwara au ubanguni msumbiji nenda kakae Mbagala mtoni au TMK kwa ujumla ndio uta wajua wamakonde yaani ni sheeda, maana hapo sja muelewa kua urogwaji wa family upo wapi !!? sasa yy hapo anajiona km Mungu mtu hapo ktk familia yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee si Mmakonde, ni Mmakuwa pure wa Mozambique. Babu alikuwa na cheo serikalini, na mdogo wake pia. Kifupi walikuwa na maisha ya raha. Ila shida ilianza baada ya kukimbilia Masasi na kuanza upya.
 
Bosses salute! Je, hili liliathiri mahusiano yako? Naenda moja kwa moja kwenye mada. Binafsi mzee alikuwa mwalimu wa shule ya msingi. Narudi nyuma kidogo...

Mzee alizaliwa Mozambique, Maputo. Wazee wake walihamia TZ mzee akiwa anajifunza kutembea miaka ya 60. Sababu ya kuhama ni baba yake kukimbia revenge kutoka kwa folks wa mtu aliyempiga risasi. Alikuwa askari. Watoto wote tulizaliwa hapa TZ.

Tuendelee...

Mzee alikuwa mwalimu, ila hakudumu kwani aliacha kazi mwenyewe kwa hiari yake, baada ya kumpiga kichwa mkuu wake wa shule, so kesi ilikuwa kubwa akaona mambo yasiwe mengi.

Pamoja na hayo, wakati anaacha kazi hakuwa na hata nyumba, akaanza kufanya kazi za ulinzi kutoka kwenye makampuni mbali mbali.

Kifupi mimi ndio nimefanikiwa kufika advance mpaka chuo kikuu, kwenye familia yetu. Kaka zangu wote 2 waliishia std 7 na walikataa kuendelea na shule japo mzee alikuwa na vihela vya kuwasomesha..

Dada zangu wote, hakuna aliyevuka form 4. Hatuna njaa, hatujawahi kulala njaa ila hili la familia yetu msomi mkubwa kuwa mimi tu linanikosesha raha sana.

Najiuliza mengi. Je, familia imerogwa? Kwa nini mimi peke yangu ndio nilisoma chuo kikuu?

Najiuliza sana.! Karibuni ndugu zangu tutiririke.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Wala usijali. Kuipata elimu siku hizi siyo lazima kukaa madarasani.
 
Mimi kwetu ndo nina degree peke yangu lakini siblings zangu wote 8 wananizidi kipato na sidhani kama kuna siku nitawafikia maana wameshafika mbali sana kwenye bihashara zao. Mimi Nipo nang’ang’ana kufundisha Physics & Chemistry form 5A na form 6A
 
Kuna fala mmoja hajamaliza hata darasa la saba ila ana malori zaidi ya 300, ndio anazifanya familia zetu zinaenda chooni.
Ila huyu mpuuzi ingawa hajasoma lakini yuko vizuri sana kichwani.
Hua nikipiga nae story nikimsikiza hio mikakati yake anayoipanga au akiwa anachambua mambo ni zaidi hata ya wenye Masters za Udsm.
Jamaa halijasoma lakini linaupeo mpana sana wa maarifa, laiti lingesoma lingekua katika levels za kina Andrew Chenge (joka la makengeza)
Umeogopa hela zake. Akiongea katikati ya wasomi na ikiwa hawamjui kuwa ni tajiri watajua kuwa anaongea vitu vya kawaida
 
Mimi kwetu ndo nina degree peke yangu lakini siblings zangu wote 8 wananizidi kipato na sidhani kama kuna siku nitawafikia maana wameshafika mbali sana kwenye bihashara zao. Mimi Nipo nang’ang’ana kufundisha Physics & Chemistry form 5A na form 6A

So mambo ya degrees yasikupe shida, cha msingi pambana watoto wako na wa ndugu zako wasome lkn ukiwa unajua kwamba shule siyo msingi pekee wa mafanikio.
 
Bosses salute! Je, hili liliathiri mahusiano yako? Naenda moja kwa moja kwenye mada. Binafsi mzee alikuwa mwalimu wa shule ya msingi. Narudi nyuma kidogo...

Mzee alizaliwa Mozambique, Maputo. Wazee wake walihamia TZ mzee akiwa anajifunza kutembea miaka ya 60. Sababu ya kuhama ni baba yake kukimbia revenge kutoka kwa folks wa mtu aliyempiga risasi. Alikuwa askari. Watoto wote tulizaliwa hapa TZ.

Tuendelee...

Mzee alikuwa mwalimu, ila hakudumu kwani aliacha kazi mwenyewe kwa hiari yake, baada ya kumpiga kichwa mkuu wake wa shule, so kesi ilikuwa kubwa akaona mambo yasiwe mengi.

Pamoja na hayo, wakati anaacha kazi hakuwa na hata nyumba, akaanza kufanya kazi za ulinzi kutoka kwenye makampuni mbali mbali.

Kifupi mimi ndio nimefanikiwa kufika advance mpaka chuo kikuu, kwenye familia yetu. Kaka zangu wote 2 waliishia std 7 na walikataa kuendelea na shule japo mzee alikuwa na vihela vya kuwasomesha..

Dada zangu wote, hakuna aliyevuka form 4. Hatuna njaa, hatujawahi kulala njaa ila hili la familia yetu msomi mkubwa kuwa mimi tu linanikosesha raha sana.

Najiuliza mengi. Je, familia imerogwa? Kwa nini mimi peke yangu ndio nilisoma chuo kikuu?

Najiuliza sana.! Karibuni ndugu zangu tutiririke.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Ndugu zako nao wanajiuliza labda, mbona mwenzetu kasoma!?? Sio kitu cha ajabu lkn
 
Umeogopa hela zake. Akiongea katikati ya wasomi na ikiwa hawamjui kuwa ni tajiri watajua kuwa anaongea vitu vya kawaida
Sio kweli, kuna wasomi kibao tuko nao kitaani hata maongezi yao ukiwasikiliza unapata mashaka kwamba huyo chuo alienda kujifunza nini?
Jamaa nakwambia tena halijasoma ila linaupeo mkubwa sana wa kufatilia na kudadavua mambo mbalimbali, ninakuhakikishia ukikutana nae na kupiga nae story halafu ukaambiwa jamaa hajasoma hata secondary hauwezi kuamini.
Kwanza jamaa linajua mambo mengi mbalimbali tena in deep.
Kikubwa nilichogundua kutoka kwake hua kila siku anapenda kujifunza mambo mapya na hapendi ubishiubishi, hapendi kujikweza wala kujifaharisha, anapendelea zaidi maongezi yenye hoja sio mastory ya kijinga kijinga yaliyojaa udaku na majungu majungu.
 
Back
Top Bottom