mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Bosses salute! Je, hili liliathiri mahusiano yako? Naenda moja kwa moja kwenye mada. Binafsi mzee alikuwa mwalimu wa shule ya msingi. Narudi nyuma kidogo...
Mzee alizaliwa Mozambique, Maputo. Wazee wake walihamia TZ mzee akiwa anajifunza kutembea miaka ya 60. Sababu ya kuhama ni baba yake kukimbia revenge kutoka kwa folks wa mtu aliyempiga risasi. Alikuwa askari. Watoto wote tulizaliwa hapa TZ.
Tuendelee...
Mzee alikuwa mwalimu, ila hakudumu kwani aliacha kazi mwenyewe kwa hiari yake, baada ya kumpiga kichwa mkuu wake wa shule, so kesi ilikuwa kubwa akaona mambo yasiwe mengi.
Pamoja na hayo, wakati anaacha kazi hakuwa na hata nyumba, akaanza kufanya kazi za ulinzi kutoka kwenye makampuni mbali mbali.
Kifupi mimi ndio nimefanikiwa kufika advance mpaka chuo kikuu, kwenye familia yetu. Kaka zangu wote 2 waliishia std 7 na walikataa kuendelea na shule japo mzee alikuwa na vihela vya kuwasomesha..
Dada zangu wote, hakuna aliyevuka form 4. Hatuna njaa, hatujawahi kulala njaa ila hili la familia yetu msomi mkubwa kuwa mimi tu linanikosesha raha sana.
Najiuliza mengi. Je, familia imerogwa? Kwa nini mimi peke yangu ndio nilisoma chuo kikuu?
Najiuliza sana.! Karibuni ndugu zangu tutiririke.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app