Umesoma vitabu gani mwaka 2016?

Nimesoma vitabu vifuatavyo
1. The da vinc code
2. The alchemist
3. The strong man putin
4. Animal farm
5. The history of christianity
6. Perfumed Garden

Vyote ninavyo kwa pdf kwa anayehitaji.
mkuu naomba na mimi kama hutojari
 
Nonde hii iliyokuwa chini ya Diwani Godius G Mwambasi, hii iliyopakana na kata ya Majengo, Itiji, Nsoho, na Ghana!

Ama Nonde mtaa katika kata ya Maendeleo?
 
My life in Crime, hiki kitabu nilikisahau kwa abiria mwenzangu wakati huo Scandinavia bus zipo kwenye soko..kama una soft copy ya hicho kitabu naomba msaada wa kukipata mkuu
 
My life in Crime, hiki kitabu nilikisahau kwa abiria mwenzangu wakati huo Scandinavia bus zipo kwenye soko..kama una soft copy ya hicho kitabu naomba msaada wa kukipata mkuu
Sina soft copy...
 
1.Utata wa 9/12 i&ii - Husein Tuwa
2.Haini -Shafi Adam Shafi
3.Msako - Japhet Nyang'oro Sudi
 
Camel club-David Baldacci,
The Broken Window- Jeffery Deaver
Why Pick On Me-James H. Chase
Tutarudi Na Roho Zetu - Ben Mtobwa
 
Nataka vitabu vya computer na program zakd

Office, hiwe ni word, excell etc

Mweny pdf soft copy plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…