Daniel Mjema
Member
- Jul 23, 2007
- 77
- 84
Nawashukuru wote mliocguswa na tukio hili ambalo litatokea tena baada ya miaka 25 mingine ijayo. Nawaomba mnitumie email danielmjema@yahoo.com AU danielmjema@gmail.com au ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) kwenda namba 0715 432243 au 0754 432243 ukitaja jina kamili, ulimaliza lini na sasa uko wapi ili tuandae taarifa itakayosomwa siku hiyo na kuwekwa pia kwenye website ya shule. Naomba ushirikiano wenu ili siku hiyo tukumbushane kila mmoja kwa staili yake anavyokumbuka alikopita hadi sasa.
Nimefurahi coz Mj Sec tupo wengi jf,nami pia nilisoma Majengo sec A-level(2005-2007).Namkumbuka sana brother Peter limo na usemi wake ''kiss the ground'' mwalimu Januari ambaye alisadikika anavuta 'bangi' mwalimu fitris,mwalimu magembe na wengine wengi.KISS THE GROUND!!!Wow, I didnt know this...nimesoma hapo bwana A-level 2005-2007.I enjoyed chakula cha waalimu (ukiwa kiongozi,lol)......most of all I loved the Library, I could stay in there asubuhi mpaka jioni! Santimes yule bibi alikuwa ananifukuzaga! dah..Sadly, I wiill not make it for th celebrations..nitakuwa porini..but on that day i will surely remember to say a prayer for the school..tutakuwa pamoja kiroho!!!PAMOJA SANA...