Umeshindwa Hata Kununua Kiwanja?

ze future

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
204
Reaction score
300
Wakuu, hii ngoma ya stamina ft prof jay ni ngoma ya kufikilisha sana yani, nakumbuka miaka 1990s mpk 2000s.
 
Wahindi hawana viwanja wanaishi nyumba za Msajili/NHC miaka yote nawajua lakini akaunti zimetuna na watoto wanasoma Mzizima Aga Khan, Shabaan Robert na IST wakitoka Hapo Vyuo wanaenda UK, Australia, Canada na US. Wewe umekamata kiwanja Tuangoma hukoo mtoto anasoma St. Kayumba akimaliza Kazi Konda wa Daladala au kibarua kwenye viwanda vya Wahindi hao hao.
**Wabongo tunahangaika na viwanja na kujenga mabanda ya show off huku kichwani empti set
 
Elimu sikuhizi ni bure hila cha ajabu umeshindwa kunipeleka shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…