Umeshawahi kuvunja rekodi?


kaka umenikumbusha mbaliii da
 
We mchekee Madame B. atakudanganya hapa ni demu mwenzio mpange kideti cha kupiga umbea.... Ukirudi na mimba ntaenda kusema kwa mama!

Asprin acha unafiki bhana,
Nitakosa wachumba bure humu.
Au una utani na ruttashobolwa?
Ina mana ana mpenzi mwanaume.
Njoo mwaya CUTE usiniogope.
 
Last edited by a moderator:
Asprin njoo univue nguo ili uthibitishe.
CUTE nitafutie popote alipo huyu mtu,nawe uwe shuhuda.
kakimbia kwani unazani hawaogopi hawa ukiwalazimishia kitu waoga ka nini hahahha Asprin wapi kuja pande hizi umeuwasha moto mwenyewe hakuna wakukuzimia
 
Last edited by a moderator:
We mchekee Madame B. atakudanganya hapa ni demu mwenzio mpange kideti cha kupiga umbea.... Ukirudi na mimba ntaenda kusema kwa mama!
hahahha Asprin bwana nikiona niwakiume si nakimbia mweh!
 
Last edited by a moderator:
Joka la Kibisa hakuinuka nini?
hahahha itakua alikua na hamu sana na hakuna na uhakika kama angepewa kiasi kwamba kuona tu mchizi chaliiiiiiiii.....kajaribu style zote za amsha popo zikashindikana hahahhahha chezeyaaaa mzuka weye
 
Mimi nilivunja rekodi ya kuwa na mwandiko mzuri shule nzima mwaka 2003 ..@ St Justine High school.
Na wewe weka rekodi yako.

Haaa mbona mwandiko huu ulioandika na wa kwangu upo sawaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi nilivunja rekodi ya kuwa na mwandiko mzuri shule nzima mwaka 2003 ..@ St Justine High school.
Na wewe weka rekodi yako.

shule yenu ilikuwa na wanafunzi wangapi asulo?
 
kakimbia kwani unazani hawaogopi hawa ukiwalazimishia kitu waoga ka nini hahahha Asprin wapi kuja pande hizi umeuwasha moto mwenyewe hakuna wakukuzimia

Mlete mlete huyo CUTE,
Anadhani nitamlegezea,kuja hapa univue nguo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…