tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 695
Hahahahahaaa,yaani mpaka uje ukute mwanamke ameolewa na kuwekwa ndani na kuwa chakula ya jamaa(mke),amepitia sarakasi mingi/nyingi sana na za kufa mtu ambapo ni vigumu sana kusema kwa mchumba mpya.Tatizo nyie wadada/wanawake(badhi)huwa mnashoboka na hawa wanyoa ooooh na scrubs zao za usoni mkiwaacha wanaume walio 'normal'.Mtaendelea kumegwa na kutapeliwa mpaka mtakapotia akili kichwani.Pole sana Faith kisa chako kinafanana na changu kabisa kasoro mimi sikwenda Mwanza, wala kumpa kiasi kikubwa hivyo cha fedha ili nilikwenda kwake nikapika na kupakua but ndio hivyo ni TAPELI au ni Mario, all in all ndio maisha twapitia
Usijali nimepata faida ya kukuanika ujulikane unaona umejitokezaSasa umepata faida gani kunianika humu [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inakua shukuru kala mbwakilichonotokea ni kwamba zile pesa zako na mimi nilitapeliwa..ha ha
Hahahahahaaa,yaani mpaka uje ukute mwanamke ameolewa na kuwekwa ndani na kuwa chakula ya jamaa(mke),amepitia sarakasi mingi/nyingi sana na za kufa mtu ambapo ni vigumu sana kusema kwa mchumba mpya.Tatizo nyie wadada/wanawake(badhi)huwa mnashoboka na hawa wanyoa ooooh na scrubs zao za usoni mkiwaacha wanaume walio 'normal'.Mtaendelea kumegwa na kutapeliwa mpaka mtakapotia akili kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
YaaniPole sana Faith kisa chako kinafanana na changu kabisa kasoro mimi sikwenda Mwanza, wala kumpa kiasi kikubwa hivyo cha fedha ili nilikwenda kwake nikapika na kupakua but ndio hivyo ni TAPELI au ni Mario, all in all ndio maisha twapitia
Nimecheka kwa sauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha...
Nimeona unaizungumzia mara ya pili...
Kweli ilikuuma sana...
Mi sijui nimetapeliwa?
Mana ninaowadai hawarudishii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok safi , kopa mkopo mwingine faith unipe na Mimi ,Weee wadada sisi tunapendaga mwanaume awe romantic mmmmmh Mwenzio nilikua naamshwa na sms taaaaamu asbh naachaje kudata