General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
HahahahaNilishawahi kutapeliwa na siku niliyojua jamaa ni tapeli mapenzi yaliishia siku hiyo hiyo. Ni mwaka wa pili sasa toka anitapeli namuona tu anavyokula bata ila laki 7 yangu hataki kunilipa na angejua mwenzie ninavyobangaiza angenirudishia tu yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
Dah, Anko mtoto wa mjinj kama ww ulitapeliwa?
Au mapenzi kunogaa....
Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha...Acha tu Anko nilikutana na mtoto wa mjini zaidi yangu akanizidi ujanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha...
Nimeona unaizungumzia mara ya pili...
Kweli ilikuuma sana...
Mi sijui nimetapeliwa?
Mana ninaowadai hawarudishii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigua Je muda wote kwenye mahusiano yenu hujawahi kumtapeli zaidi ya lakisaba indirect na yeye akapotezea?mdai hakuna mwanaume anapenda kudaiwa na mwanamke atakulipa tu labda kama bado unampenda.Nilishawahi kutapeliwa na siku niliyojua jamaa ni tapeli mapenzi yaliishia siku hiyo hiyo. Ni mwaka wa pili sasa toka anitapeli namuona tu anavyokula bata ila laki 7 yangu hataki kunilipa na angejua mwenzie ninavyobangaiza angenirudishia tu yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigua Je muda wote kwenye mahusiano yenu hujawahi kumtapeli zaidi ya lakisaba indirect na yeye akapotezea?mdai hakuna mwanaume anapenda kudaiwa na mwanamke atakulipa tu labda kama bado unampenda.
HahahahaNa inaniuma mpaka Leo tena sasa hivi ndio inaniuma Sana ambavyo sina hela halafu kuna fala anakula bata wakati namdai
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi niwe mkweli sijawahi kumtapeli mdada yeyote hela ila huwatapeli papuchi zao, nikishagonga tu napotea kwa speed ya bodaboda kudadeki.[emoji6][emoji23][emoji23]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Tulikua mbali mbali kimkoa mwanamke alikua msanii yule alikua anakula mpaka udongo [emoji23][emoji23][emoji23]Duh mkuu ukatatachi litumbo lake kufeel.