Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni zangu 2 na nusu bado sijalipwa adi sasa na mchepuko kwa njia ya mkopo na.sasa miaka miwili. Ananipiga chenga...anaona kama papuchi ndo dawa
Mkuu mchepuko haukopeshwi,unatosa live au unatoa tu,nilishakoma kukopesha mwanamke anayeongea lugha ya taifa.
 
Ila kweli binadamu tunatofautiana. Unaanzaje kupata wazo la kumtapeli mpenzi wako? 😳
Kama una shida ya pesa kwanini usiwe mkweli badala ya kufanya utapeli?

 
Baby niazime 10k!![emoji7][emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…