Pesa ndogo Kama hiyo.
Wakati wao wanatutapeli mpaka mamilioni kadhaa.!
Mtu anakukopa hela.
Kumdai anaanza kuzunguka zunguka.
Mara kakupa papuchi, na hela yako ndio ntolee hivo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhahahahahaah Cheka tu mwaya nikikumbuka naumia sana halafu jamaa ni Yale ya mabakamabaka serikalini ila ni katapeli hakooozesh nimecheka
Ha ha ha ha ha.
Kumbe wengi huwa mnalizwa baada ya kupigwa mashine tata!!
:-
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa ni kwamba huko nyuma nilikuaga najitolea vitu kadhakadha hivi ila nimesamehe ....sema hiyo themanini ilienda kwa njia ya nikopeshe so nilimkopesha ni lazima ilipweYaani elfu 85 mpaka kwa Sir God jamani. Ina maana hukuwahi kumpa zawadi yoyote ya maana?!
Mmmh kwa huyo mtu wacha nikae kimya niliingia shimo LA moto anilipe tu hiyo pesa simsamehe hata iweje .....hizo tulizopeana kwa mahaba ziende tu ila sio nilizomkopesha alipeKweli wanawake mna roho mbaya sana.. Yaani elf85 unataka mkalipane kwa MUNGU BABA? Yani wewe raha yako ni kumuona mshikaji anazamishwa kuzimu
Alafu hapo ukute mwamba alishakugharamia mazaga ya malaki lakini kwa makusudi kabisa Umesahau.
Young kilimanjaro
Hahaaha mjedaAhahhahahahahaah Cheka tu mwaya nikikumbuka naumia sana halafu jamaa ni Yale ya mabakamabaka serikalini ila ni katapeli hakooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh kwa huyo mtu wacha nikae kimya niliingia shimo LA moto anilipe tu hiyo pesa simsamehe hata iweje .....hizo tulizopeana kwa mahaba ziende tu ila sio nilizomkopesha alipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wao elfu85 wanashtaki kwa MuumbaMilioni zangu 2 na nusu bado sijalipwa adi sasa na mchepuko kwa njia ya mkopo na.sasa miaka miwili. Ananipiga chenga...anaona kama papuchi ndo dawa
Ukimkopesha mwanamke jiandae kumla papuchi na ndio umeshainunua kwa pesa uliyomkopesha.Milioni zangu 2 na nusu bado sijalipwa adi sasa na mchepuko kwa njia ya mkopo na.sasa miaka miwili. Ananipiga chenga...anaona kama papuchi ndo dawa
Huyo hajakutapeli mtafute umsikilize,nahisi kuna tatizo lilimkuta as man akaamua kufa na tai shingoni, kama bado hujaolewa mtafutr umsikilize huyo ni mtu mzuri bado naamini hivyo,usihukumu haraka hivyoHalafu ni lizuri hatari sio mvivu kitandani, + liko romantic mi ningeotaje mwenzenu mwaka mzima uko na mwanaume anakujali mi ningeota tapeli??/
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dear ......hawa viumbe mungu awaweke mahala walipojiandalia
Sent using Jamii Forums mobile app