Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,367
- 2,800
๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ณ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ธ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ด๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ฎ๐ฎ
Sio Hadithi tena kampuni ya Dutch Aviation kutoka uholanzi wameweka wino ya makubaliano na airport ya Twente kuweza kuweka safari za Anga fup fupi zisizo tumia hewa chafu kuanzia mwaka 2027.
Kutakua na gari zenye kutumia chaji zenye kupaa kwa umbali mfupi kilimeta zisizo Zidi 500km ambao utakua unabeba abiria 4 mpaka wa5 kwenye eneo la uwanja wa ndege.
Yani utakua na uwezo wa kutembea mfano unaweza toka berlin , London au Paris ndani ya masaa mawili au unaweza tembea toka dar to Dodoma, morogoro, Lindi ,mtwara ndani ya saa moja mpaka mbili.
izo gari za angani zitakau zinakimbia spidi 300km/hr kwa saa Ikiwa na uwezo mpaka kufikia spidi ya 750km kwa saa kama utachaji mara moja na kujaa. Hii tunaweza sema ni ndege ndogo zenye mfano wa magari ila zinapaa.
Kutakua na viti vikubwa vizuri ambavyo itakufanya ukika kwenye gari usichoke kabisa. Kwaiyo ikitokea unataka kusafiri basi safari isiyozidi kilometa 400km utaweza kulipia Euro225 sawa na Tsh 571,049.94/=.
Pia kampuni ya Eletron ilitia Saini ya makubaliano na uwanja wa ndege wa Groningen mnamo mwaka 2021 kuweza kutengeneza na kusambaza ndege zenye kutumia mfumo wa kuchaji badala ya mafuta kwenye viwanja vyote vya Ndege nchini Netherland mwaka 2027.
Unaionaje hi to teknolojia ikija tanzania tuwe na Uber, bolt ila za kupaa angani ?
View attachment 2641455
View attachment 2641456
View attachment 2641457