Umeshawahi kuokota hela mfukoni mwako?

Umeshawahi kuokota hela mfukoni mwako?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
847
Reaction score
2,954
Vipi ulijisikiaje yaani unajikuta hujatarajia na hauna hela siku hiyo ila mara paap! Unaingiza mkono mfukoni kisha inakutana na hela ambayo hukumbuki ulioweka lini.
IMG_20260317_101103_397.jpg
 
Juzi kati nikasema ngoja nicheki wallet yangu ya zamani nakuta kuna litwenty nililisahau

Nikampa shemu yako maana yeye ndiye aliyeninunulia wallet mpya
 
Mie kila mara nakuta ela kwenye mifuko na mikoba yangu🤗
 
Kipindi nakunywa bia nilikuwa naokota sana. Ilifika kipindi nikiona Sina hela kabisa naanza kupiga Sachi mifuko yote sikosi chochote kitu.
 
Back
Top Bottom