Umeshawahi kumpenda mtu kimyakimya ?

Umeshawahi kumpenda mtu kimyakimya ?

1001243976.jpg
 
Miaka ileee shule ya msingi, nilikuwa penda penda sana halafu mpole...

Wale mabinti wakausoma mchezo wakawa wanaleta michoro nawachorea, maswali magumu nawafanyia.

Basi nikawa kibaraka chao na kufunguka siwezi, mara moja moja wakinionea huruma nimechapwa na mwalimu wanajitutumua "mshamba poleeee..."

Na walivyojua nimezubaa sana basi wakawa wananitongoza kinafki wakijua siwezi kujibu.

Nilikuwa kibonge nyota yangu haikung'aa sana.
 
Itakuwa tulisoma wote Kuna mkaka mmoja tulikua tunamuonea sana,unamkuta katulia zake tu unaanza kumtongoza huku unampapasa mgongoni basi anaona aibu mwenyewe😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom