Ilikuwa Mwanza miaka yangu ya ujana, tumekaa baa tunapata moja moto moja baridi, rafiki yangu wakati huo akampigia simu aliyekuwa mwanamke wake akamuelekeza tulipo demu akaja. Kufika pale jamaa akawa yupo busy kucheza pool table muda wote ,Mimi nimekaa na shemeji tunapiga stories , muda umesogea yule demu (Shem) akaniomba namba yangu nikampa.
Usiku wa saa tano tumempeleka Shem nyumbani kwao (alikuwa anakaa na mama yake), nikaenda zangu kulala nakuta kwenye simu yangu Kuna sms toka kwa Shem "kesho asubuhi sana naomba tuongee", sikujibu nikalala zangu. Kumi na moja asubuhi simu yangu inaita, kutaka kuipokea akakata, nikapiga hakupokea akani...sms ,ujumbe wangu haukuuona?
Nikampigia akapokea , nikamwambia niliona lakini sikujibu kwasababu napendelea zaidi kuongea kuliko kutumiana sms, anacheka Cheka tu, nikamchana live.....Shem kama unataka nikut0mBe kuwa muwazi maana siku chache mbeleni naondoka nasafiri, anaguna guna tu haaaaaaah weeeeewe mbona unatumia maneno makali hivyo huoni aibu?
Nikamwambia sasa kama hiki ninachokisema ndicho kilichomo akilini mwako nitakut0mBaje kama unaona aibu hata kwa kuzungumza tu eeeeenh? Anacheka Cheka tu. Nikamwambia panda pikipiki fasta nikupe Cha asubuhi kabla sijaingia mihangaikoni, akataka kuongea nikamkatisha kwa kumpa maelekezo ya lodge gani nimelala na namba ya chumba , nikamwambia nakusubiri hapa kwa dakika 25 tu. Nikakata simu nikaendelea zangu kulala, hakutokea.
Siku iliyofuata saa nne usiku napokea sms toka kwa Shem "nipo njiani nakuja, naomba unijibu", nikamjibu poa karibu, dakika kumi pikipiki ikasikika nje , ghafla naskia mlango ukigongwa nikafungua nakutana na Shem kapendeza haswaaaa, nikamkaribisha ndani akaketi kwenye sofa. Namuuliza ushakula Shem? maana si unajua kut0mBana ilhali una njaa sio poa, anaona aibu kunitazama usoni ,akanihakikishia ameshakula nikamwambia poa.
Nimekaa zangu kitandani , nikainuka nikamfuata sofani na kumshika mikono yake kutaka kumuinua pale, hataki na anashusha pumzi balaa, nikamwambia tukaoge....akakataa hawezi kuoga na Mimi anaona aibu hivyo nikaoge kwanza kisha naye ataenda kivyake, nikaoga zangu nikarudi naye akaingia bafuni kuoga. Katoka kuoga nikamshawishi tujipime kwanza ukimwi ,kwa shingo upande sana akakubali ,dakika chache majibu haya hapa yanafanana. Nikamkumbatia na kumpa hongera kwa kuwa safi, nikaanzisha utundu pale......mikito kama ile unaweza ukamkausha mtu! maana nilikuwa na upwiru wa hatari nimekaa Tarime mwaka na miezi miwili Nakita godoro tu mammaaaaaamaaaaaaaaeeeeeeeee! Akanogewa ikawa kama kahamia pale kila wakati anataka awe pale. Alienda kumhadithia wifi yake, taarifa zikamfikia mama yake, siku sina hili wala lile mama mkwe kanipigia ,baada ya salamu akaniomba baaaba nakuomba usiniharibie mwanangu vinginevyo uwe na mipango ya kumuoa maana tangu amekuwa na wewe haambuwi chochote kuhusu kutokuja kulala kwako, mwanangu hakuwahi kulala nje na nyumbani isipokuwa kwako nimempigia kelele lakini kanihakikishia mama kwa huyu mwanaume nipo radhi uniue lakini siachi kwenda kulala kwake, nikamwambia mama nimekuelewa.
Nililazimika kuondoka kabla ya muda ili nimpunguzie usumbufu wa kutolala nyumbani kwao, popote ulipo R****nakupa salamu