Ilikuwa Aidha atuue sisi au tumuue yeye. Alikuwa mkubwa sana mweusi anatanua mashavu yake halafu anatema mate kwa njia ya kukurushia~wanasema yakikupata machoni unapofuka, ilikuwa hatari mnoSas kwa nini mlimuua na nyie ndo mliingia kwenye zone yake
Ina maana kama mlikua na uwezo wa kumuua lazima kulikua na uwezekano wa kumkwepa, au alikua ameziba njiaIlikuwa Aidha atuue sisi au tumuue yeye. Alikuwa mkubwa sana mweusi anatanua mashavu yake halafu anatema mate kwa njia ya kukurushia~wanasema yakikupata machoni unapofuka, ilikuwa hatari mno
Alituzibia njia na alikuwa ameshakasirikaIna maana kama mlikua na uwezo wa kumuua lazima kulikua na uwezekano wa kumkwepa, au alikua ameziba njia
Ndiyo wapo,unless unaongelea king cobra ndiyo hatuna.Bongo tuna Cobra?? Eneo gani?. Ungenambia koboko sawa.
Kwahiyo nje na kutema mate cobra hana silaha nyingine nikimaanisha labda kung'ata etc? Na je mate yake yakikupata sehemu nyingine ya mwili sio machoni nn kinatokea?Ilikuwa Aidha atuue sisi au tumuue yeye. Alikuwa mkubwa sana mweusi anatanua mashavu yake halafu anatema mate kwa njia ya kukurushia~wanasema yakikupata machoni unapofuka, ilikuwa hatari mno
Kobra ana ng'ata na kudunga sumu. Silaha yake ya kutemea / kurushia mate ni anapokuwa kwa mbali anaanza nayo hiyo kisha akikufikia anakutandika meno na kukudunga sumu kwa njia hiyo na ni kwa Kasi ya ajabu.Kwahiyo nje na kutema mate cobra hana silaha nyingine nikimaanisha labda kung'ata etc? Na je mate yake yakikupata sehemu nyingine ya mwili sio machoni nn kinatokea?
1. Hupofuki moja kwa moja, utavimba then baada ua siku 3 unaponaIlikuwa Aidha atuue sisi au tumuue yeye. Alikuwa mkubwa sana mweusi anatanua mashavu yake halafu anatema mate kwa njia ya kukurushia~wanasema yakikupata machoni unapofuka, ilikuwa hatari mno
Lakini kobra hawezi kukufuata akung'ate kama hujamzuia kuingia kwenye shimo lake.Kobra ana ng'ata na kudunga sumu. Silaha yake ya kutemea / kurushia mate ni anapokuwa kwa mbali anaanza nayo hiyo kisha akikufikia anakutandika meno na kukudunga sumu kwa njia hiyo na ni kwa Kasi ya ajabu.
Mate yake yakikupata sehemu tofauti na machoni yanasababisha muwasho mkali na kwa baadhi ya watu eneo hilo huvimba hata wakati mwingine hutoa vidonda vinavyosababishwa na kujikuna sana.
Kwa kuwa na miguu ya kijivu au?🤣🤣Mtoa mada umeupiga mwingi[emoji4]
Kwan mikoa ya kusini suala la cobra sio habar ya kushangaza maana wamepakana na msumbiji, kule wanapatikana cobra maarufu duniani wanaitwa MOZAMBIQUE SPITTING COBRA, Ni hatar na nusu[emoji4]Duh,
Maswali mengine Ni ya ajabu Sana,itakuwa wewe ni mtoto wa Dar hujawahi kutoka nje ya Dar kutembelea mikoani. Unashangaa cobra Tz?
Mozambique spitting cobra Ni wengi sn mikoa ya kusiniMwezi January tumepiga cobra mkubwa sana, wapo japo si wengi
Ha ha ha.... miguu imepauka balaa[emoji4]Kwa kuwa na miguu ya kijivu au?[emoji1787][emoji1787]
Nmependa usimuliaji wake na mpangilio wa visa vyakeKwa kuwa na miguu ya kijivu au?[emoji1787][emoji1787]
Huyo cobra anayetanua shingo yeye ana rangi gani?Koboko (Black/Green mamba) sijawahi kumuona kwa macho yangu ila nimehadithiwa na nimemsikia hasa nyakati za usiku akiwa anawika
Cobra wa kitropik wengi ni weusi mkuuHuyo cobra anayetanua shingo yeye ana rangi gani?
Ndio maana wakati wa baridi wengi hutoka mashimoniHiyo story ya cobra, nikwamba asubuhi kabla ya jua kuchomoza reptilia (damu baridi)nyoka, mijusi, kenge, mamba... wote wanakuwa hawana nguvu, hata kuwinda hawawezi. Lazima wakae juani kupasha mwili joto ndio wanakuwa active, ndio maana hakukushambulia.
Ni nyoka wawili tofauti mkuu, cobra ni swila na koboko ni black mamba au green mamba, ijapokuwa jamaa kashangaza kudhani swila hawapo hukuSasa cobra na koboko tft si ni lugha au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]