Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 780
- 1,831
Umeshawahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu hutafuna kucha zao mpaka zinachubuka. Hii si tabia ya kawaida tu — ni ishara ya kinachoendelea ndani ya akili yako.
Kutafuna kucha husabishwa na Msongo wa mawazo ,Hofu au aibu, Kuchoka, kukosa la kufanya na Kwa wengine ni Tabia ya kurudiarudia toka utotoni.
Kutafuna kucha husabishwa na Msongo wa mawazo ,Hofu au aibu, Kuchoka, kukosa la kufanya na Kwa wengine ni Tabia ya kurudiarudia toka utotoni.